DSC06118
Katibu tawala mkoa wa Singida, Hassan Liana, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa kwa mafundi wadogo wa useremala,ushonaji wa nguo,uhunzi na ujenzi.Vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 20 milioni,vimetolewa na shirika la Tools for self reliance la nchini Wales Uingereza na zimepitia SIDO mkoa wa Singida.
DSC06120
DSC06143
Katibu tawala mkoa wa Singida, Hassan Liana (wa pili kulia) akikabidhi cherehani kwa mmoja wa kiongozi wa vikundi 17 vilivyonufaika na msaada wa vifaa vya ufundi vilivyotolewa na shirika la Tools for self reliance la nchini Wales Uingereza.Wa kwanza kulia ni meneja wa SIDO mkoa wa Singida, Shoma Kibende.
DSC06145
DSC06150
Katibu tawala mkoa wa Singida, Hassan Liana, akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa vikundi 17 vya mafundi wa fani mbalimbali muda mfupi baada ya kuwakabidhi vifaa vya ufundi vilivyotolewa na shirika la Tools for self reliance la nchini Wales Uingereza.Wa kwanza kushoto ni mejena wa SIDO mkoa wa Singida.Shoma Kibende.(Picha na Nathaniel Limu).