![]() |
| Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bi.Catherine Kameka akitoa maelezo kwa mwandishi wetu wakati alipotembelea Banda la Mfuko huo. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi walijitokeza kupima afya zao |
![]() |
![]() |
![]() |
| Baadhi ya maafisa wa NHIF wakiendelea kufuatilia taarifa mbalimbali kwenye mtandao ambazo wanazitumia katika maonesho hayo kuielimisha jamii umuhimu wa kutunza afya zao. |
![]() |
| Banda la Chama cha msalaba mwekundu |
![]() |
| Mabanda mbalimbali ya maonesho katika wiki ya vijana kitaifa mkoani Tabora |









No comments:
Post a Comment