Friday, January 4, 2013

USIKU WA MWAKA MPYA BALAA TUPU,KHANGA MOKO TABORA


 Hii ni sehemu za baadhi ya picha zilizoonesha nini kilichofanyika katika ukumbi wa Theophilo Kisanji Tabora ikiwa ni moja ya Show zilizoambatana na Shindano la kumsaka Miss & Mr.Kamna 2013 
 Haikuwa salama hata kidogo kwa baadhi ya wanaume walioingia katika ukumbi wa Theophilo Kisanji.
Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi huo wakishangazwa na Show ya Khanga Moko laki si Pesa.

1 comment:

  1. INAWEZA KUONEKANA KAMA JAMBO LA BURUDANI LAKINI KAMA JAMBO HILI HALITAPATA MTU WA KULIKEMEA LITAUA TAIFA.

    KWANZA TUJIULIZE KUWA TUNAPOFANYA VITU KAMA HIVI NI NANI ANAFAIDIKA NAVYHO NA NI NANI ANAPATA HASARA KWAVYO.

    VITU AU MATUKIO HAYA YANA LENGO LA KUIHARIBU JAMII KULIKO KUISAIDIA JAMII HASA WATOTO NA MABINTI AMBAO WANAANDALIWA KUWA WAKE ZA WATU WA MAANA. KUMFUNDISHA KUUACHA MWILI SEHEMU AMBAZO KILA MTU ANAJUA ZINAITWA ZA SIRI HALAFU WEWE UNATOA LESENI YA KUZIANIKA HADHARANI SIYO SAHIHI

    HIVI WIZARA YA UTAMADUNI NA VIJANA HILI WANALIONA SAWA? KUCHEKA NA KUSHANGILIA SIYO LAZIMA KUWE KWA JAMBO JEMA. WAKATI MWINGINE KUCHEKA NA KUSHANGILIA KUNAKUWA NJIA YA MAUTI KAMA LILIVYO TUKIO HILI.

    HIVI KAMA HUYU MWANAMKE ALIYEKAA UCHI HAPA KWENYE HII PICHA ANGEKUWA MAMA YAKO WEWE UNAYESOMA UNAONA KUWA NI SAHIHI? HATA KAMA ANALIPWA PESA ZA KUFANYA HIVYO

    KAMA MWANAMKE HUYU ANGEKUWA JIRANI YAKO AU DADA YAKO AU SHANGAZI YAKO ANAPOFUNUA UTUPU WAKE NA WATU WAKASHANGILIA, WEWE UNAONA NI SAWA?

    FIKIRINI KABLA YA KUAMUA NA KURUHUSU VITENDO KAMA HIVI.

    JE MUNGU ATAKUWA RADHI NANYI?

    ReplyDelete