Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na
kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada ya kupokelewa na Kaimu
Balozi Mhe. Hemed Mgaza (kushoto) Spika Makinda ameandamana na Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na Usalama, Mhe.
Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika kwa
balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.
Spika Anne Makinda akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi
Spika akisaini Kitabu cha wageni
Makamu Mwenyekiti Mhe. Zungu akisaini kitabu cha wageni
Picha ya Pamoja na wafanyakazi
Jengo la Ubalozi. Jengo hili lipo kando ya barabara kuu Kinshasa, eneo maarufu kwa biashara.
Wajumbe kaamati maalum wakiendelea na mkutano wa FP/ICGLR
No comments:
Post a Comment