Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa leo
Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya
siku tano nchini humo.
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa leo
Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya
siku tano nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
wa Ufaransa katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee
(hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe
wake akiwa katika maongezi rasmi na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
wa Ufaransa na ujumbe wake katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama
Champs L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisindikizwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa baada
ya mazungumzo yao rasmi katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs
L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji
wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa wakiongea na wanahabari baada
ya mazungumzo yao rasmi katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs
L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Gari iliyomchukua Rais Jakaya Mrisho
Kikwete ikiondoka Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee
(hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
No comments:
Post a Comment