· ARIDHISHWA NA UTIMAMU WA VIKOSI HIVYO KIMAFUNZO NA ZANA
· AAHIDI TATIZO LA MAJI KUPATIWA UFUMBUZI NDANI YA MWAKA 2014
· KIKOSI CHA UHANDISI WA MEDANI CHAAHIDIWA VIFAA ZAIDI ILI KUPAMBANA NA MAJANGA NCHINI
· AAGIZA JWTZ KUBUNI MIKAKATI YA KUONDOKANA NA MAKAZI YA MUDA
Ziara
hiyo ya siku moja ilihudhuriwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.
Joel Bendera, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Wakuu wa
Kamandi, Wakuu wa Matawi Makao Makuu ya Jeshi, Makamishna Wizarani na
Wajumbe wa Mabaraza ya Ulinzi na Usalama wa
Wilaya na Mkoa wa Morogoro.
(Na Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ulinzi na JKT)
No comments:
Post a Comment