Huko Arusha timu ya Yanga ilikuwa
mgeni wa timu ya JKT Oljoro ya huko katika mchezo uliofanyika kwenye
uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ambapo Yanga imeibuka na ushindi wa goli
moja lililofungwa na Mchezaji Mbuyu Twite
Sunday, October 28, 2012
SIMBA YAITUNGUA AZAM FC YA CHAMAZI MAGOLI 3-1 UWANJA WA TAIFA
JK ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU LUTENI KANALI MUSA MRISHO MTENGWA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Luteni Kanali
Mussa Mrisho Mtengwa nyumbani kwa marehemu kijijini Kiwangwa,wilayani
Bagamoyo leo jioni wakati Rais Kikwete alipokwenda kushiriki mazishi ya
Marehemu.
Enzi za Uhai wake Marehemu Luteni
Kanali Mtengwa aliwahi kuwa mpambe wa Rais wa awamu ya Pili Ali Hassan
Mwinyi,kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 1995.Marehemu aliwahi pia kufanya
kazi katika Wizara ya Sheria na kushika nafasi mbalimbali za uongozi
ndani ya jeshi.
Marehemu alifariki juzi tarehe 25 Oktoba nyumbani kwake Kijitonyama
jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda na ameacha mjane, watoto wanne na wajukuu watatu Picha na Freddy Maro.
Saturday, October 27, 2012
BABYLOVE KALALA ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS TANZANIA TALENT SHOW USIKU HUU
Fullshangwe inakumuvuzishia moja
kwa moja matukio yanayoendelea kwenye show hii ya Miss Tanzania Talent
Show kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View jijini Dar es salaam.
Mshindi
wa Miss Tanzania Talent Show Babylove Kalala akicheza na nyika wakati
wa shindano hilo lililofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Girrafe Ocean
View kandokando ya bahari ya hindi jijini Dar es salaam usiku huu.
RAIS WA ZANZIBAR DK ALI SHEIN AHUTUBIA BARAZA LA ELD EL HAJJ
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,baada ya kupokea salamu ya Hesha ya gwaride la Kikosi cha Polisi FFU,leo alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel, akiwa mgeni rasmi kulihutubia Baraza la EID EL HAJJ Leo.
Worlds Mp’s insist for Parliamentary Immunities for better oversight
………………………………………………………….
By Owen Mwandumbya, Quebec Canada
Members of Parliament have
spoken out in support of having immunities while performing the work as
people’s representatives in parliaments and other works related to that.
They said that during the Panel Session having a topic: Parliamentary
Immunity: Benefit Or Burden? At the 127 inter- parliamentary Union (IPU)
Conference which is taking place here in Quebec City, Canada since 21
to 26 October, 2012.
They said freedom of expression
is the working tool of the Member of Parliament. It enabled them to do
their jobs as representatives of people and to speak out criticize the
government and denounce abuses. Parliamentary immunities is designed to
ensure that parliamentarians can freely express themselves without
hindrance and fear of prosecution.
During the debate, Mps said
there is a tendency of Citizen generally to perceive immunity as a
negative concept; they tend to see it as a way of politicians themselves
to place above the law, thing that are very untrue.
This is particularly true in
countries where parliamentary immunity, in the form of inviobility
offers protections to Mps against legal proceedings for acts they carry
it outside the confines of parliamentary duties.
The public reasoning they may be
partly due to the lack of understanding of the purpose of parliamentary
immunities. It may also reflect a more widely held belief that
excessive parliamentary immunity offers protections to those who should
be prosecuted and inversely failed to protect those who have done
nothing wrong.
The panel discussion took place
at the rationale and effectiveness of parliamentary immunity in today’s
world in particular in the light of public insistence on over greater
accountability.
The main questions here were,
should MPs enjoy parliamentary immunity, including from the legal
proceeding for acts unrelated to parliamentary duties in order to
effectively do their work? Should such immunity exist everywhere as a
matter of principle or only in fragile democracies?
A parts from majority saying
that immunities for Mps are inevitable, they also debate more on how can
one ensure that application of parliamentary immunity indeed protects
those subjected to political motivated charges – often members from the
opposition and that inversely, the majority in parliament cannon block,
for purely political reasons the prosecution of one of theirs.
Earlier, making his highlights,
Mr. John Williams (Canada) CEO of the global organization of
parliamentarians against corruption (GOPAC), urging that parliamentary
immunity it is counter productive and outdated, drawing the recent
decision by Slovak parliament to do away with the requirement of
parliamentary authorization before a member a member of parliament can
be prosecuted the point which was strongly opposed by many Mps and
saying this is an irrelevant and does not freely gave the right of Mps
to exercise the duties freely.
Sharing the experience from
Tanzania, an Mp from Tanzania Hon. Hamad Rashid Mohamed said in
Tanzania, statutory provisions covering parliamentary privilege is
defined in Article 100 of the constitution of the United Republic of
Tanzania, which covers the privilege of freedom of speech and debate in
the Assembly and the parliamentary immunities, powers and privileges
Act, 1988 (No.3 of 1988).
The parliament and
parliamentarians have the Immunity from legal proceedings which is
clearly stated in the parliamentary immunities, powers and privileges
Act, 1988 (No.3 of 1988) Section 5 which is provides as follows:- “No
civil or criminal proceeding may be instituted against any member for
words spoken before the Assembly or any of its Committees, or by reason
of any matter or thing brought by him therein by petition, bill or
motion or otherwise, or for words spoken or act done bonafide in
pursuance of a decision or proceeding of the Assembly or a committee.’’
Hon. Hamada also said that the
law also provides the Immunity from arrest for civil debts which also
the law in Section 6 of Act no. 3 of 1988 states as follows:- “No member
shall be liable for arrest for any civil debt except for a debt the
contraction of which constitutes a criminal offence.” One among the
significant power the House has is the power of control over its own
affairs and proceedings. This is one of the significant attributes of
any independent Legislature.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI MSIKITI MPYA WA JIHAD WILAYA YA MWANGA-KILIMANJARO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi
katika Jengo la Msikiti mpya wa Jihad, baada ya kuzindua rasmi Msikiti
huo uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa
wa Kilimanjaro, leo Oktoba 26, 2012 wakati wa Sikukuu ya Eid El Hajj,
iliyofanyika sambamba na uzinduzi wa Mfuko
wa uchangishaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na
Sekondari ya Vuchama Mosque Islamic Centre
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini
wa Dini ya Kiislam
katika Swala ya Idd El Hajj, iliyofanyika Kitaifa katika Msikiti mpya
wa Jihad, uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa
Kilimanjaro. Ibada hiyo ilifanyika sambamba na uzinduzi wa Msikiti huo
na uwekaji wa Jiwe la Msingi pamoja na uzinduzi wa Mfuko wa uchangishaji
fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya
Vuchama Mosque Islamic Centre, leo Oktoba 26, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
Swala ya Idd El Hajj, iliyofanyika Kitaifa katika Msikiti mpya wa Jihad,
uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro.
Ibada hiyo ilifanyika sambamba na uzinduzi wa Msikiti huo na uwekaji wa
Jiwe la Msingi pamoja na uzinduzi wa Mfuko wa uchangishaji fedha kwa
ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya Vuchama Mosque
Islamic Centre,
leo Oktoba 26, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono
kuwaaga wananchi na waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka eneo
hilo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja wa waumini
wa Kiislam wa Kijiji cha Vuchama wakati akiondoka eneo hilo baada ya
kuzindua na kuweka Jiwe la Msingi na kuchangisha fedha za ujenzi wa
Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya Vuchama Mosque Islamic Centre.
leo Oktoba 26, 2012. Picha na OMR
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAZI KWA MAWAZIRI NA MAAFISA WAANDAMIZI WA SERIKALI

Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia
Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama
ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA)
serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma.
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu
cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali
wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Dk.
Jabir Kuwe Bakari, Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao, akitoa
mada kuhusu wakala huo kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku
tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika
ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika
ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Wajumbe
wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri,Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana
kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yembesi
akifafanua juu ya Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu
matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na
mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat)
cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa
serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae
katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU.
Subscribe to:
Posts (Atom)











