Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi
katika Jengo la Msikiti mpya wa Jihad, baada ya kuzindua rasmi Msikiti
huo uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa
wa Kilimanjaro, leo Oktoba 26, 2012 wakati wa Sikukuu ya Eid El Hajj,
iliyofanyika sambamba na uzinduzi wa Mfuko
wa uchangishaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na
Sekondari ya Vuchama Mosque Islamic Centre
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini
wa Dini ya Kiislam
katika Swala ya Idd El Hajj, iliyofanyika Kitaifa katika Msikiti mpya
wa Jihad, uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa
Kilimanjaro. Ibada hiyo ilifanyika sambamba na uzinduzi wa Msikiti huo
na uwekaji wa Jiwe la Msingi pamoja na uzinduzi wa Mfuko wa uchangishaji
fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya
Vuchama Mosque Islamic Centre, leo Oktoba 26, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
Swala ya Idd El Hajj, iliyofanyika Kitaifa katika Msikiti mpya wa Jihad,
uliopo katika Kijiji cha Vuchama Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro.
Ibada hiyo ilifanyika sambamba na uzinduzi wa Msikiti huo na uwekaji wa
Jiwe la Msingi pamoja na uzinduzi wa Mfuko wa uchangishaji fedha kwa
ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya Vuchama Mosque
Islamic Centre,
leo Oktoba 26, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono
kuwaaga wananchi na waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka eneo
hilo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja wa waumini
wa Kiislam wa Kijiji cha Vuchama wakati akiondoka eneo hilo baada ya
kuzindua na kuweka Jiwe la Msingi na kuchangisha fedha za ujenzi wa
Shule ya Awali, Msingi na Sekondari ya Vuchama Mosque Islamic Centre.
leo Oktoba 26, 2012. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment