Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa
Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Nderemo
baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua
Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo
Oktoba 23, 2012.
Bendi
ya muziki ya Vijana Jazz Orchestra ‘Wana Pambamoto’ ikitumbuiza kwa
wimbo maalumu katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa ni
shamra ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa
chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Meza
kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa
chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Wanachama wa umoja wa vijana kutoka nchi rafiki mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti
anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa akihutubia katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu
wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi
toka kwa Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano
Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23,
2012.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na
viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za vijana toka
nchi mbalimbali marafiki.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa UVCCM.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment