| Kinywaji cha mirinda Green Apple kikiwa katika chupa. |
| Maofisa wa Kampuni hiyo Godlisten Mende (kulia), na Omari Madaya wakionesha kinywaji hicho kwa waandishi wa habari. |
| Meneja Mauzo wa SBC, Godlisten Mende (kulia), akionesha kinywaji hicho kwa waandishi wa habari. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062) |
| Meneja Mauzo wa Kanda, Omar Madaya (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kuzindua kinywaji hicho iliyofanyika Dar es Salaam jana. |
| Meneja Mauzo wa SBC, Godlisten Mende (kulia), akizungumza katika mkutano huo. |
| Wanahabari wakionja kinywaji hicho. |
| Mwanahabari huyu kama anasema “jamani mirinda hii ni tamu”. |
| Wanahabari wakichangamkia kinywaji hicho. |
| Wanahabari wakichukua taarifa kutoka kwa maofisa wa SBC. |
| Mmoja wa maofisa wa SBC (kushoto), akiwaelekeza jambo wenzake. |
No comments:
Post a Comment