MWENYKITI WA SHIRIKIKSHO LA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA(SHIVYAWATA) WILAYA YA URAMBO DANIEL MWITA AKIWA KATIKA MKUTANO WA KUJADILAI JUU YA RASIMU YA KATIBA MPYA KATIKA UKUMBI WA VICKITORIA URAMBO |
NA LUCAS RAPHAEL.URAMBO
Imeelezwa
kwamba rasimu ya katiba mpya imamke wazi kwamba watu wenye ulemavu na watoto
wao wapatiwe elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi chuo kikuu kwa lengo la kuweka
usawa wa elimu kati ya walemavu na watu wasiokuwa walemavu sanjari na huduma za
afya.
MWANASHERIA AMBAYE NDIYO ALIYONGOZA MJADALA WA WA RASIMU YA KATIBU ABEL SENGEREMA PEMBENI YAKE NI MTOA MADA KATIKA MJADALA HUO NI JOHN PININI |
Akizungumza
wakatika wakichangia mjadala wa rasimu ya katiba mpya wilayani wilayani Urambo
mwenyekiti wa shirikisho la watu wenye ulemavu wilaya ya Urambo (SHIVYAWATA)
Daniel Mwita alisema kwamba katika kipengele cha elimu kiongezwe
kipengele cha elimu kwa walemavu pamoja na kupata matibabu bure .
Alisema
kwamba walemavu hapa nchi waliopata elimu ni asilimia isiyozidi 5 tu na hilo
linatokana na wazazi kutokuwa na muamko wa kuwapeleka watoto wao shuleni
na kupata matibabu bure kwani walemavu wengi wanakufa kutokana na kukosa
matibabu na kutona na gharama kubwa kwao.
Alisema
kwamba katiba itakayokuja itamke wazi walemavu na watoto wao wapate elimu bure ili
kupunguza watoto wa mitaani ambayo inatokana na wazazi wengine kutokuwa na
uwezo wa kuwasomesha watoto wao .
Alsema
kwamba iwapo walemavu watapata elimu na matibabu bure hata hali ya kuwaona
mitaani itapungua kwani omba omba watapungua kwani itakuwa rahisi kwao kutafuta
hata mikopo na kuweza kuanzisha vyama vyao vyakuweka na kukopa saccos
kwani watakuwa wamejitambua kwa kupata elimu.
Mwita
alisema kwamba kutokana na hali hiyo kwa walemavu nchini kukosa elimu na
matibabu yakina kunasababiasha watu wenye wasiweza kupona kwani lemavu
mwingine unaweza kutibabika iwapo mhusika hatapata matibabu kwa muda muafaka na
elimu
Aidha
mwanasheria wilayani urambo Abel Sengerama alisema kwamba licha ya bunge kupata
wawalikishi kutokana nafasi tano za rais kuweza kuwakilisha watu wenye ulemavu
bungeni ,lakini pia iwepo na nafasi za uwakilishi kwa watu wenye ulemavu
katika mabaraza ya madiwani nchini kote ilikuwapata watu watakao kuwa na
uwezo wa kuwasema watu wenye ulemavu .
Alisema
kwamba kupatikana diwani mwenye ulemavu kutasaidia sana kupata msemaji
wao katika bazara hilo ilikuweza kujua nini kinachowasumbua watu wenye ulemavu
katika kata husika .
Hata
hivyo walemavu hao waliomba rasimu hiyo iseme wazi juu ya kuwatengea dirisha
maalumu katika hospital ,kwa lengo la kuwaraisishia kupataji, madawa na
huduma zingine .
Kikao
hicho cha baraza la rasimu ya katiba yalifayika katika ukumbi wa mikutano wa
Victoria wilayani humo.
No comments:
Post a Comment