KAIMU MKUU WA WILAYA YA URAMBO SAVERI MAKETA AKISIKILIZA VIONGOZI WA PSI WALIOPO PICHA JUU YA KAZI WANAZIFANYA KUELIMISHA JAMII JUU YA SWALA ZIMA LA KUTOA ELIMU YA UKIMWI MKOANI TABORA
Utangulizi:-
Psi – Tanzania nishirikalisilokuwa la
kiserikalilinalofanyashughulizakekwakushilikiananaWizarayaAfyakatikaprogrammumbalimbaliambazoni;-
·
MapambanodhidiyaUkimwinaVirusivyaukimwi.
·
Uzaziwampango.
·
Kuzuiamagonjwayatumbonakuhara.
·
Mapambanodhidiya Malaria.
Kupitiaprogrammuhizo shirika linafanyakazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali pamoja na vitengo mbalimbali katikaWizara vinavyo husika na programmu hizo.Kutokananaprogrammuhizoshirikalinafanyashughulizakekatikakuhakikishamagonjwahayoyanakuwahistoriakatikakila
kaya naTaifakwaujumla,katikakufanyahivyobasihuwatunafanyashughulizifuatazo:-
·
Kutoaelimukwanjiayasinemajuuyaprogrammuzaafyatunazofanyiakazi.
·
Kubandikamabangoyenyeujumbezakupiga vita
magonjwahayo.
·
Kutoaelimukwenyemabaakuhusuukimwinamatumizisahihiyakondomu
(Bar promotions/Salama Nights).
·
Mauzoyabidhaambalimabalizaafyamfano:-
1.
Vifaakingadhidiyaukimwi mf Salamakondomu
2.
Bidhaazauzaziwampango
3.
Dawazakuuavijidudukatikamaji (Waterguards)
MAPAMBANO DHIDI YA
UKIMWI:-
Katikamapambanodhidiyaukimwi Psi Tanzania
kwakushirikiananaWizarayaAfyanawadauwengineinafanyashughulimbalimbalikatikakuhakikishakuwaugonjwahuuunatokomezwakabisakatikamkoawetunchiyetukwaujumla.Katikakuhakikishahilotunafanyayafuatayo:-
·
Kutoaelimukwajamiikupitiasinemaambazozinatoamafunzokatikakubadilishatabiazawatunamitizamoyaojuuyaugonjwahuu.
·
Kutoaelimukwenyemabaajuuyaugonjwahuupamojanaelimujuuyamatumizisahihiyakondomu.
·
Kuuza/Kuuzavifaakingakwaajiliyakujikinganaugonjwahuuyaanimipiraya
kike nakiume.
i) Utoajiwaelimukwajamiikupitiasinema.
Psi Tanzania
hufanyashugulizakezakuelimishajamiikwanjiambalimbaliikiwemonjiayakuoneshasinemaambazohutoaujumbejuuyanamnayakujikingaamakujiepushanaugonjwawaukimwi.Katikamwakahuukwamkoawamzimawa
Tabora
tumewezakuoneshasinemazenyeujumbejuuyaugonjwawaukimwikatikawilayazotezamkoanatakribanimaeneo 60 yavijijina kata
mbalimbaliyamewezakufikiwanakuelimishwatokaJanuary
mpakaNovembamwakahuu.
ii)Utoajiwaelimukwenyemabaa.
Shirika la Psi Tanzania
piahufanyashughulizakuelimishawanajamiihasakwenyemabaawakiwemowatejanawahudumujuuyamatumizisahihiyakondomupamojaugonjwawaukimwi.
iii)Usambazajinauuzajiwavifaakinga.
Katikakutoahudumahiishirikauuzanakutoakwenyebaadhiyaasasimipiraya
kike
nakiumekwaajiliyakujikinganaugonjwawaukimwi.KwamwakahuumpakamweziNovembatumewezakusambazakiasi
cha pakitizamipirayakiumemkoamzimakatikamgawanyoufuatao:-
·
Mipirayakiumepakiti 825,000zimetolewaburekwamakundimaalumuhasawaathirikakatikawilayazote
·
Mipirayakiumepakiti 1,533,600zimeuzwakwenyemadukayadawanavyakula
Psi Tanzania
inatoashukranizadhatikwauhirikianomzuriinaoupatakutokaWizarayaafya
,wadaumbalimbalipamojanaofisiyaMgangamkuumkoa,wagangawakuuwawilayazote,piawakiwemowaratibuwaukimwiwawilayazotenawanajamiikwaujimla.
Tukumbukekwamba:-
“TANZANIA BILA YA
MAAMBUKIZI MAPYA, UNYANYAPAA NA VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI INAWEZEKANA”
NB:Maadhimishoyasikuyaukimwikimkoayamefanyika
kata yaUsisyawilayaniUrambomkoaniTabora,ambapomgenirasmialikuwamkuuwawilayayaUrambo.
Psi Tanzania
kamamdauwamapambanodhidiyaukimwiilishirikikikamilifukufanikishasikuhiyo.