| Mkurugenzi
 wa halmashauri ya manispaa ya Tabora Bw.Alfred Luanda akizungumza na 
baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu ya Chama cha Waandishi wa habari mkoa
 wa Tabora TBPC,kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw.Theonas 
Liwa,anayefuata ni Katibu wa chama hicho Bw.William Mahimbo na Vivian 
Pyuza ambaye ni Mwekahazina mkuu wa TBPC.Mkurugenzi huyo alitembelea 
ofisi ya chama hicho na kushauri mipango ya maendeleo ya TBPC ikiwa ni 
pamoja na kuwataka viongozi hao kuomba kiwanja kwa ajili ya kujenga 
ofisi kubwa. | 
No comments:
Post a Comment