![]() |
| Baadhi ya wachezaji wa timu ya Netball ya mkoa wa Tabora. |
![]() |
| Mdau wa mchezo wa Netball Hamisi Msoga naye alipata fursa ya kumkabidhi Mwakasaka mchango wa shiriki 50000/= kwa ajili ya kusaidia timu hiyo ya Netball. |
![]() |
| Kiongozi wa timu ya Netball ya mkoa wa Tabora ambaye alikuwa akimsikiliza kwa makini mkuu wa wilaya ya Tabora Suleimani Kumchaya wakati akitoa hotuba ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo. |






No comments:
Post a Comment