|  | 
| Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dr.Willibroad Slaa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Tabora uliofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui. | 
|  | 
| Baadhi ya wananchi wa mjini Tabora ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Chadema pamoja na bibi huyo hakuwa nyuma kusikiliza Dkt slaa . | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Tabora Bw.Kansa Mbaruku akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa Chama hicho. | 
|  | 
| Baadhi ya wananchi wakiwemo wafuasi wa Chadema wakiwa katika mkutano wa hadhara viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui mjini Tabora. | 
|  | 
| Gari la Katibu mkuu wa Chadema Dr.Willibroad Slaa likiwa na ulinzi mkali likiondoka viwanja vya Shule ya Sekondari Uyui mjini Tabora. | 
 
No comments:
Post a Comment