Saturday, April 18, 2015

MWAKASAKA ACHAGULIWA KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU TAIFA,AMBWAGA MWENYEKITI WA UWT

 

Bw.Emmanuel Adamson Mwakasaka akiwashukuru wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora mjini baada ya kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa kwa kupigiwa kura 130 kati ya 149 huku akifuatiwa na mtu wa pili ambaye ni Mwenyekiti wa UWT ambaye alipata kura 5.
Mjumbe wa mkutano mkuu Bw.Emmanuel Mwakasaka akiahidi kufanya kazi kwa pamoja na wanaccm wenzake katika kuendeleza shughuli za Chama hicho.

Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini Bw.Bakari Mfaume akimpongeza Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa Bw.Emmanuel Mwakasaka kufuatia kushinda uchaguzi huo uliofanyika katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.

No comments:

Post a Comment