![]() |
| Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu. |
![]() |
| Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi |
![]() |
| Emmanuel Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kwa ni majambazi katika eneo la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora |



No comments:
Post a Comment