TABORA LEO HABARI
WELCOME TO - taboraleohabari.blogspot.com
Sunday, April 27, 2014
RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya ulaya, Fullshangwe iko kwenye eneo la tukio ikikuletea moja kwa moja matukio na maelezo zaidi ya picha hizi yatakujia baadae kwa sasa endelea kuangalia picha.(PICHA NA KUKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA
UHURU)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment