Monday, February 2, 2015

JE WAJUA KUHUSIANA NA NDEGE AINA YA MBUNI?IPO HAPA

Kama kawaida Lukaza Blog inaendelea Kukujuza vitu ambavyo unaweza kuwa huvifahamu kabisa au unavifahamu lakini sio kwa undani wake basi leo tunakuletea Je wajua kuhusiana na ndege aina ya Mbuni? yaani Ostrich kwa lugha ya Kiingereza.

Je Wajua kuwa Jicho la Mbuni ni Kubwa kuliko hata Ubongo wake?
Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment