![]() |
| Warembo baada ya kutangazwa na kupatiwa zawadi zao katika shindano lililofanyika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora |
![]() |
| Mshindi wa pili katika mashindano hayo Sabrina Juma akiwa katika vazi la jioni |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Sengerma Bw.William Ngereja akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya uermbo yaliyofanyika |
![]() |
| Warembo wakipita jukwaani kila mmoja akionesha uwezo wake mbele umati mkubwa wa wakazi wa Tabora waliofurika kushuhudia shindano hilo. |







No comments:
Post a Comment