![]() | |
| Wananchi wa Wilaya ya Nzega wakiwa nje ya mahamaka ya Kuu wakisikiliza hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Igunga |
![]() |
| Wananchi wakisubiri kuanza kwa kesi ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dr. Kafumu Dalali |
![]() |
| Wapenzi na mashabiki wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] Wakishangilia baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kutengua matokeo ya uchaguzi Jimbo la Igunga. |
![]() |
| Mashabiki wa chadema wakiondoka katika eneo la Mahakamani |





No comments:
Post a Comment