Mgeni Rasmi katika Kongamano la
Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akitoa
ufafanuzi wa Wizara juu ya maswala ya afya hapa nchini wakati wa
Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin
Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Msajili wa Baraza la Pharmacy
Tanzania,Dkt. Mildred Kinyawa akiwasilisha mada yake ya kuuhusiana na
Usajili wa Maduka ya Dawa Baridi Vijijini wakati wa Kongamano la Nane la
Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin
Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri
Tanzania,Nevile Meena akiwasilisha ya kuhusu Mchango wa Vyombo vya
Habari katika Sekta ya Afya,katika Kongamano la Nane la Wanahabari na
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa
siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha
Ualimu Mkoani Mtwara.
Meneja Ufuatiliaji na Tathmini ya
Mipango Kazi na Mpango Mkakati kutoka Bohari Kuu ya Dawa Tanzania
(MSD),Cosmas Nalimi akiwasilisha Mada ya Kuhusu Upatikanaji wa Dawa
Vijijini,katika Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye
Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari wakifatilia kwa
makini Mada zinazotolewa kwenye Kongamano hilo la nane la Wanahabari na
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linalofanyika hivi sasa
kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani
Mtwara.
Wakali wa Uchoraji wa Vibonzo hapa nchini,toka kulia ni Masoud Ally Kipanya,King Kinya pamoja na Nathan Mpangala a.k.a Kijast Bikozzz wakifatilia
kwa makini Mada zinazotolewa kwenye Kongamano hilo la nane la
Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Wadau Stephen Wang'anyi (Muwakilishi wa ITV na Radio One,Shinyanga),Augustine Nigendi wa Channel Ten,Mara) pamoja na George Maratu wa ITV Mara wakipitia Libeneke la Glogu ya Jamii.
Mdau wa Globu ya Jamii kutoka Mkoani Lindi,Abdulaziz Video akiendeleza libeneke wakati wa Kongamano
hilo la nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.Picha Na Othman Michuzi wa Mtaa
Kwa Mtaa Blog
No comments:
Post a Comment