| SIO KAMA WANATAKA KUPIKA LA HASHA BALI HIYO NI NGOMA TU CCM NZEGA UTAIPENDA |
| VIONGOZI WASHINDWA KUJIZUIA NA KWENDA KUPONGEZA HAMA HUYO |
| SHEREHE HIZO ZILIVYOFANA NZEGA KAA CHONJA NA JAMAA HUYO |
| KIUNO NACHO KILIKUWA KAZINI |
| MZUKA UMEPANDA HAPA |
| ILIKUWA NI RAHA TU |
| HAPA NI NGOMA INONGILE |
| HAPA ILIKUWA KATIKA VIWANJA VYA PACK KWENYE MKUTANO WA HADHARA CCM NZEGA |
| MSHIKO NDIO NAUTAFUTA NIPO BIZZ BOSI |
| WEWE NIACHE NIPO KAZI BWANA KWANI UNAONI |
No comments:
Post a Comment