![]() |
| Chumba cha upasuaji ambacho kimesheheni vifaa vya kisasa |
![]() |
| Kifaa maalumu cha kuhifadhia Watoto ambao wanazaliwa kabla ya umri wa kuzaliwa yaani Kabichi |
![]() |
| Taa maalumu kwa ajili kutengeneza joto katika chumba cha kuhifadhia watoto Kabichi au Njiti |
![]() |
| Chumba cha kinamama wajawazito kujifungulia huku watoto wakiwa wamehifadhiwa kwenye mashine hizo kabla ya kupelekwa Wodini. |
![]() |
| Chumba cha kujifungulia ambacho kwasasa kimewekewa uzio kwa ajili ya faragha kwa kinamama wajawazito wakati wa kujifungua. |






No comments:
Post a Comment