Wednesday, December 17, 2014

AJALI YA BASI YAUA TANO, NA KUJERUHI 50 TABORA

 

Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.
Watu saba wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans  lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka. 
   Basi hilo limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Habari/Picha: Global Whatsapp

No comments:

Post a Comment