Wednesday, December 3, 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI IKULU DESEMBA 02,2014

 

1

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 02, 2014
unnamed-1
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 12, 2014

No comments:

Post a Comment