Thursday, April 24, 2014

MTU MMOJA AMEUAWA KWA KUPIGWA NA WANANCHI


Askari wa Jeshi la Polisi  Kituo Kikubwa  Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu.
Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi
Emmanuel Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kwa ni majambazi katika eneo la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora

No comments:

Post a Comment