Thursday, April 24, 2014

POLISI TABORA WAKAMATA LITA MIA MOJA ZA GONGO ILIYOANDALIWA KWA AJILI YA PASAKA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kangada akionesha bunduki iliyokamatwa katika msako maalumu ulioendeshwa na Makachero wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakati wa kipindi cha Sikukuu ya Pasaka.
ACP Suzan aliowaonesha waandishi wa habari  Mitambo ya kutengenezea pombe ya Moshi  maarufu Gongo ambapo lita 100 zilikamatwa ambazo ziliandaliwa kuuzwa wakati wa Pasaka.

No comments:

Post a Comment