| MKUU WA WILAYA YA KALIUA MKANI TABORA BW,SAVERI MAKETA AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA VETA AKIPOKEWA NA MURUNGEZI NA MKUU WA CHUA CHA VETA TABORA |
| WA KWANZA KUSHOTO NI KAIMU MKUU WA CHUA CHA ULYANKULU NA ANYEFUTA NI MKUU WA CHUA CHA VETA MKOA WA TABORA BW,MAKONGORO |
| MKUU WA WILAYA YA KALIUA BW,SAVERI MAKETA AKISAINI KITABU CHA WAGENI |
| MKURUNGEZI WA VETA KANDA YA MAGHARIBI BIBI HILDEGARDIS BITEGERA AKIWA NA MGENI RASMI SAVERI MAKETA OFISINI KWAKE |
| MKUU WA WILAYA YA KALIUA ALIYEMWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TABORA AKIELEKEA KATIKA UKUMBI WA MKUTANO TAYARI KWA AJILI YA KUFUNGUA MKUTANO |
| WADAU WA VETA AKISIKILIZA HOTUBA YA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU NA WAAJIRI ULIOWASHIRIKISHA VIONGOZI MBALIMBALI KUTOKA MIKOA YA SHINYANA,KIGOMA,SIMIYU NA TABORA |
| MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOA WA TABORA AKIWA NI MMOJAWAPO KATIKA MKUTANO HUO WA WADAU |
| MKUU WA WILAYA YA KALIUA ,MKURUNGEZI WA VETA WAKIWA TAYARI KUANZA KWA MKUTANO HUO |
| HAPA MKURUNGEZI WA VETA AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI |
| MKUU WA WILA YA KALIUA AKISOMA HOTUBA KWA WADAU MBALIMBALI WALIOTOKA KATIKA MIKOA MINNE YA KANDA YA MAGHARIBI |
PICHA ZOTE NA MADILI KWA MAWASILIANO ZAIDI KWA SIMU NAMBA 0754-845258
Na Lucas Raphael,Tabora
THANKS FOR THE EMPHASIS
ReplyDelete