KALUNDE BAND WANOGESHA MKESHA WA KRISMASS RAINBOW MBEZI
Mkurugenzi
wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba sambamba na Mwapwani
mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo katika onesho la bendi hiyo
lililofanyika wakati wa mkesha wa Krismas kwenye ukumbi wa Rainbow Mbezi
jijini Dar es salaam, ambapo watu mbalimbali walijitokeza katika onesho
hilo.
Mwimbajiwa bendi ya Kalunde Makey Fanta akifanya vitu vyake jukwaani katika mkesha wa krismass jijini Dar es salaam
Kalunde band wakiwajibika jukwaani.
Waimbajiwa bendi ya Kalunde wakifanya vitu vyao jukwaani kutoka kulia ni Devotha Nyalusi,Remmy na Mwapwani.
Mwanamuziki
Deo Mwanambilimbi wa pili kutoka kushoto akiongoza kundi zima la bendi
hiyo wakati lilipotumbuiza katika mkesha wa krismass kwenye ukumbi wa
Rainbow Mbezi jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment