Monday, December 03, 2012
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Kiongozi Fakhi Jundu(kushoto),Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe(watatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo lilijengwa kwa nguvu za wananchi na wafadhili katika kata ya Rondo,jimbo la Mtama,Lindi vijijini jana.
No comments:
Post a Comment