Tuesday, December 4, 2012

MAFUNZO KWA WANASHERIA KUHUSU UTATUZI WA MIGOGORO INAYOWEZA KUTKEA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA UHANDISI JENI HAPA NCHINI

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava {pichani hayupo alipokuwa aakifungua Mafunzo kwa Wanasheria Kuhusu Utatuzi wa Migogoro inayoweza Kutokana na Matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (Modern Biotechnolgy) hapa Nchini.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais En.g Ngosi Mwihava akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu wa Utafiti -Tume ya Taifa Sayansi na Teknolojia Dk. Nicholas Nyange mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Mafunzo kwa Wanasheria kuhusu Utatuzi wa Migogoro inayoweza kutokea Kutokana na Matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi jeni (Modern Biotechnolgy) hapa Nchini katikati ni Afisa Mazingira Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Esther Makwaia.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiwa Katika picha ya Pamoja na Washiriki wa Mafunzo ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni. Mafunzo hayo yanafanyika kwenye Hotel ya Belinda Resort, jijini Dar es Salaam.Picha na Ali Meja.

No comments:

Post a Comment