Saturday, September 14, 2013

LOWASSA AWASAIDIA BODABODA TABORA PIKIPIKI TATU,AAHIDI KUHUDHURIA HARAMBEE WATAKAYOFANYA

 
Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Bw.Edward Lowassa akihutubia wananchi nje ya ofisi za Chama cha Waendesha Bodaboda mjini Tabora ambapo pamoja na mambo mengine alisaidia Pikipiki tatu kwa Chama hicho kama hatua ya kwanza ya kuwawezesha  na kuwainua kiuchumi wananchama wa Chama hicho.
Bw.Lowassa  hapa alikuwa akimuagiza mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Bw.John Mchele kuitisha harambee kubwa ya kukichangia Chama cha Waendesha Bodaboda Tabora  ambapo Bw.Lowassa aliahidi kuhudhuria katika harambee hiyo.

No comments:

Post a Comment