Saturday, September 14, 2013

MH.LOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA TABORA!!


Waziri mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli Bw.Edward Lowassa  akipokelewa na mamia ya wananchi wa Tabora katika ziara yake mkoani humo
Bw.Lowassa alipata mapokezi makubwa wilaya ya Tabora mjini mara baada  ya  kuwasili.
Bw.Lowassa  akisalimiana  na  Sheikh Mkuu wa mkoa wa Tabora Shaaban Salum wakati wa mapokezi hayo.
Baadhi ya wadau mbalimbali walipata fursa ya kusalimiana na  Waziri mkuu mstaafu Bw.Edward Lowassa muda mfupi mara  baada ya kuwasili mjini Tabora.
Bw.Lowassa kwakuwa anawapenda sana watoto alilazimika kuzungumza nao machache wakati wa mapokezi hayo mkoani Tabora.


No comments:

Post a Comment