Sunday, January 12, 2014

HOSPITAL YA MKOA WA TABORA KITETE YAPATA VIFAA VYA KISASA VYA MATIBABU NA MADAKTARI BINGWA

Chumba cha upasuaji ambacho kimesheheni vifaa vya kisasa
Kifaa maalumu cha kuhifadhia Watoto ambao wanazaliwa kabla ya umri wa kuzaliwa yaani Kabichi
Taa maalumu kwa ajili kutengeneza joto  katika chumba cha kuhifadhia watoto Kabichi au Njiti
Chumba cha kinamama wajawazito kujifungulia huku watoto wakiwa wamehifadhiwa kwenye mashine hizo kabla ya kupelekwa Wodini.
Mama aliyefungua mtoto Kabichi au Njiti akisubiri mtoto wake,pembezoni ni mashine ya kuhifadhia watoto hao kwa ajili ya usalama wa makuzi yao ambao hulazwa ndani ya mashine hizo kati ya siku 21 hadi 30.
Chumba cha kujifungulia ambacho kwasasa kimewekewa uzio kwa ajili ya faragha kwa kinamama wajawazito wakati wa kujifungua.



No comments:

Post a Comment