Wednesday, January 1, 2014

MH. MUSSA NTIMIZI AUNGANA NA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI KUUPOKEA MWAKA

 MWENYETI WA CCM WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA MUSA NTIMIZI AKIJUMUIKA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA WAILAYA HIYO KATIKA KUKARIBISHA MWAKA WA 2014
Mh. Mussa Ntimizi, M/kiti wa CCM Tabora vijijini, akionge (Hapo chini) machache na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoa ni Tabora katika kuupokea mwaka mpya wa 2014. - See more at: http://www.aloyson.com/2014/01/mh-mussa-ntimizi-aungana-na-wafanyakazi.html#sthash.FFzyBGO8.dpuf

MWEKA HAZINA WA HALMASHAURI YA WILAYA HIYO BWANA SELEMANI KATIKA SIKU YA MKESHA WA KUKARIBISHA  MWAKA MPYA 2014
  
 MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UYUI MUSA NTIMIZI AKIWAONGOZA WAFANYAKAZI WA WILAYA HIYO KATIKA KUCHEZA PAOMOJA KWA AJILI YA MKESHA WA KUKARIBISHA MWAKA WA 2014
  
DANSI LINAENDELEA KUNOGA KWANI WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA WAILAYA YA UYUI WANAUKARIBISHA MWAKA KWA KUFURAHA KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA
    
MAMA MKINDO AKIWA NA MFANYAKAZI MWENZEKE WAKIPATA CHAKULA KWA AJILI YA KUSHEKEA KUPOKEA MWAKA WA 2014
  
WAUNGUZA HAO LICHA YA KUSHEREKEA MWAKA MPYA WA 2014 LAKINI WANATAFAKARI JINSI WALIVYOWEZA KUFANYA KAZI KATIKA KIPINDI KILICHOPITA CHAKA 2013 HUKU WAKILA NA KUNYWA KWA FURAHA
  
MWENYEKITI WA CCM WILAYA MUSA NTIMIZI NA WAFANYAKAZI WA WILAYA YA UYUI WAKILA CHAKULA KWA FUHARA NA KUPATA MOJA MOTO NA MOJA BARIDI
  
MAMA MKINDO AKIWA NA MDAU WAKE KATIKA SHEREHE HIYO YA KUUNAGA MWAKA WA 2013 NA KUKARIBISHA MWAKA WA 2014
  
JOSEPH MAKOYE GIMBUYA AKIMWAMBIA MWENZAKE WABADILISHANE VINYWAJI KWA AJILI YA KUAANGA MWAKA 2013 NA KUREHEKEA NA KUKARIBISHA MWAKA WA 2014
  
MWENYEKITI WA KAMATI YA SHEREHE YA KUUNGA MWAKA 2013 SHEHONDO  AKISOMA JINA LA MTU ALIYEPENDEZA KULIKO WOTE KWENYE UKUMBI WA HOLDAY PARK KWA MWAKA WA 2013 KATIKA KUUNGA MWAKA WA NA KUKARIBISHA MWAKA 2014
  
No comments:

Post a Comment