![]() |
| Mhariri mtendaji wa Channelten Dinna Chahali akizungumza katika maandamano hayo kuhusu mauaji ya mwandishi wa Channelten mkoani Iringa Daudi Mwangosi. |
MEENA
| Waandishi wa habari jijini Dar wakiandamana kulaani mauaji ya Daudi Mwangosi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa bomu tumboni |
| Hapa waandishi wakijaribu kuonesha ni jinsi gani wanavyopata taabu wakati wa kufanyakazi zao ambazo sasa zimesababisha mauaji yasiyo ya lazima kwa Daudi Mwangosi |
| Hivi ndivyo waandishi walivyoanza maandamano yao katika ofisi za Channelten jijini Dar kufuatia kulaani mauaji ya Daudi Mwangosi aliyeuawa kwa kupigwa bomu tumboni wakati akiwa kazini. |


No comments:
Post a Comment