Tuesday, August 20, 2013

CHINA YATAKA KUWEKEZA KWENYE TUMBAKU YA TABORA,MAKAMPUNI YA WAZUNGU YAPATA HOFU KUBWA

 
Balozi wa China nchini Tanzania Bw.Lu Youqing akiwa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa wakati alipotembelea Ghala la Tumbaku lililopo eneo la Cheyo manispaa ya Tabora.
Balozi wa China nchini Tanzania Bw.Youqing akizungumza na baadhi ya wataalam katika kikao kifupi ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora  wakati alipofanya ziara yake mkoani Tabora.
Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akiwa na mgeni wake Balozi wa China Bw.Youqing,pembeni Meya wa halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bw.Ghulam Dewij wakati wa mapokezi ya Balozi huyo katika uwanja wa ndege wa Tabora.
Mkuu wa mkoa Bi Fatma Mwassa  akiwa na ugeni huo walipokuwa wakiangalia tumbaku iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kupelekwa katika viwanda vya Sigara.



No comments:

Post a Comment