Sunday, August 11, 2013

KUTAYBA SACCOS YAWALIWAZA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA IGAMBIRO KWA KUWAPELEKA BWAWA LA IGOMBE


 Watoto yatima wa Kituo cha kuwalea  cha Igambiro wakati walipotembelea Bwawa la Igombe ambalo linalohudumia zaidi ya watu milioni tatu waishio eneo la Manispaa ya Tabora....Taasisi ya Kutayba Saccos ndiyo iliyoratibu na kuandaa safari ya watoto hao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid-El Fitri.

No comments:

Post a Comment