Tuesday, August 6, 2013

KATIBU WA UVCCM WILAYA YA TABORA MJINI JUDITH MLELA AFARIKI DUNIA


 

Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Tabora mjini JUDITH MLELA amefairiki leo,...Taarifa za awali zinaeleza kuwa Judith alikuwa amelazwa hospitali ya mkoa wa Tabora akisumbulizwa na Malaria,maradhi ambayo ameugua katika kipindi cha muda mfupi na hata kusababisha kifo chake.

mazishi yamepangwa yatafanyika kesho katika makaburi ya rufita mkoani hapa na msiba upo kwa kaka yake mkubwa broun kauka cheyo a mjini hapa
 
 MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA    AMENI

No comments:

Post a Comment