Sunday, August 11, 2013

MSAMAZI AIBUKA KIDEDEA, KUWA NAIBU MEYA MANISPAA YA TABORA


Baadhi ya makamanda  wa  CCM wilaya  ya  Tabora  mjini  wakiwa  nje  ya  ofisi  ya  wilaya  muda  mfupi  baada  ya  Uchaguzi  wa  mgombea  anayewakilisha  Chama  kuwania  nafasi  ya  Unaibu  Meya  wa  Manispaa  ya  Tabora  ambapo  Bw.Salum  Msamazi  alishinda  kwa  kura  19  za ndio.

Bw.Salum Msamazi  akipongezwa  na  washirika wake  wa  karibu  mara  baada  ya  Uchaguzi  huo.

Mmoja  kati  ya  wajumbe  wa  Kamati  ya  Siasa  CCM wilaya  Bw.Humud Nassor  au  maarufu  SUPER SONIC naye  akionesha  pongezi  kwa  Bw.Msamazi.
Mwenyekiti wa UVCCM  Tabora  mjini   Bw.Lucas Masanja  akimweleza machache  Bw.Msamazi  baada  ya  kupata  ushindi  huo.

No comments:

Post a Comment