Tuesday, August 20, 2013

TANZANIA YAPIGA HATUA HAIMO KTK ORODHA YA NCHI MASIKINI DUNIANI ,HONGERA RAIS KIKWETE


TAKWIMU za nchi masikini dunian,Tanzania mwaka 2010 ilishika nafasi ya tatu kwa umaskini duniani, japo kwa sasa Tanzania  imepiga hatua  kubwa kwa  kutoingia hata katika nchi 25 masikini imeshindwa  kuingia kweli  kama mwanahabari mzalendo  wa Taifa  langu Tanzania  naungana na wote  wapenda maendeleo kumpongeza Rais wetu Dkt Jakaya  Kikwete na  timu  nzima kwa  kuiwezesha  Tanzania  kufika hapa  ilipo, Rais  Dkt Jakaya  Kikwete 

No comments:

Post a Comment