Tuesday, August 6, 2013

MWAKASAKA AITAKA RHINO KUJIIMARISHA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA


Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora mjini  Emmanuel Mwakasaka akisalimiana na wachezaji wa Rhino wakati wa mchezo wa  kirafiki dhidi ya Polisi Tabora katika uwanja wa Vita Tabora mjini.
Mwakasaka akisalimiana na wachezaji wa Polisi Tabora

No comments:

Post a Comment