Wednesday, February 6, 2013

MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA WASHEREKEA SIKU YA SHERIA


 
 Jaji mfawidhi mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mheshimiwa Simon Lukelelwa akikabidhiwa risala ya Mawakili wa kujitegemea iliyowasilishwa na Wakili msomi Kamaliza Kayaga wakati wa sherehe za Siku ya sheria zilizofanyika Mahakama kuu kanda ya Tabora.
 Jaji mfawidhi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mheshimiwa Simon Lukelelwa akitoa hotuba yake katika Sherehe za siku ya Sheria.

No comments:

Post a Comment