Thursday, February 7, 2013

MAMA MJAMZITO AMCHOMA MOTO MTOTO WAKE WA MIAKA SABA


 Mtoto Shabani Lucas(7)akiwa amelazwa Wadi namba 11 hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete kufuatia majeraha aliyopata baada ya kuchomwa moto na mama yake mzazi Bi.Tatu Ramadhani kwa madai ya kuiba shilingi mia tano.Aidha mama wa mtoto huyo alifikishwa mahakamani lakini hadi sasa ameachiwa kwa dhamana. 
 Baba wa mtoto huyo Bw.Lucas Milumba akiwa anamuuguza mtoto wake hospitali ya Kitete Tabora.

No comments:

Post a Comment