Wednesday, February 6, 2013

MAMA YAKE NA MAREHEMU KANUMBA ACHEZA FILAMU WITHOUT DADDY

 

Mama mzazi wa msanii  Steven Kanumba ‘Kanumba’ ambaye kwa sasa ni marehemu,Bi.Frola Mtegoa ameigiza filamu katika muendelezo wa kipaji cha mwanaye baada ya kuigiza.

katika filamu ya Without Daddy akishirikiana na watoto waliokuwa wakiigiza na marehemu Kanumba kama Patrick na Jamila, katika filamu hiyo mama Kanumba kaigiza katika kiwango cha juu kuliko ilivyofikiriwa na wengi.  
 
Ben Blanco akiwa na wasanii wakali Jamila na mwenzake,kiongea na FC mkurugenzi wa kampuni ya Big Daddy Production Irene Kaungwa alisema kuwa filamu ya Without Daddy ni kazi mwendelezo wa kazi ya marehemu Kanumba iliyotoka siku za nyuma ya Big Daddy.

No comments:

Post a Comment