Sunday, June 2, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAJADILIANO YA KITAIFA YA USHIRIKIANO KWA MANUFAA YA WOTE JIJINI DAR LEO

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Majadiliano ya Kitaifa ya Ushirikiano kwa manufaa ya Wote, wakati akifungua rasmi Majadiliano hayo yaliyoanza leo Juni 1, 2013 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mary Nagu, kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mary Nagu, akisoma Hotuba yake kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua Majadiliano hayo.

Sehemu ya washiriki wa Majadiliano hayo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa majadiliano hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Majadiliano ya Kimataifa ya Ushirikiano kwa Manfaa ya wote, baada ya kufungua majadiliano hayo leo. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment