Thursday, June 6, 2013

Rais Jakaya Kikwete Aendelea na Ziara Yake Ya Kikazi Nchini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
 
KWA MAPICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment