Thursday, June 6, 2013

MWILI WA MANGWEA UMEWASILI DAR.


 

Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu  umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.




 

No comments:

Post a Comment