Monday, June 17, 2013

MSANII WA BONGO FLEVA MKOANI TABORA "MAN FLEY"SASA ANAKUBALIKA KWA KAZI ZAKE

Msanii wa Bongo Fleva anayechipukia mkoani Tabora maarufu MAN FLEY alipopata  fursa ya kupanda jukwaani na  kuachia nyimbo yake moja siku ya mashindano ya Redds Miss Tabora 2013 katika ukumbi wa Frankman Hotel ambapo idadi kubwa ya mashabiki wameanza kumkubali kutokana na namna Msanii huyo anavyojituma katika kazi zake.

No comments:

Post a Comment